| Mama yangu Bi Sandrah akijikoki sawa sawa tayari kuelekea kwenye futari kwa Mama yangu mkubwa Asha Baraka... |
| Mama Asha akiwahudumia wageni wake mara baada ya Adhani kuadhiniwa... |
| Ni vyanda tu kwenda mbele stori baadaee..... |
| Mjomba Mrisho nae akukosekana all the way from Kigoma huyu ni kaka yake Mama yangu kabisa toka ntoke.... |
| Kushoto ni Shangazi Latifa na Mumewe Uncle Mrisho... |
| Acha niwajulie hali Kigoma kwanza....... |
| Baada ya chakula ni matunda tu chakula kishuke saawia... |
| Mzee Muhidini Gurumo akionekana akigonga vyanda katikati na Mmiliki wa Tanzania One Blog.... |
| Diana Mama & Mwengi Ally Shem lake walikuwepo pia.... |

No comments:
Post a Comment