Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akingia katika msikiti wa Kinondoni
Muslim tayari kuhudhuria swala ya Iddi leo asubuhi,jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waumini ya dini ya kiisalmu wakiswali swala ya Iddi katika
msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es Salaam leo jioni
(picha na
Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment