Msemaji wao Alaa Mostafa amesema maandamano yao yataendelea.
Wizara iliwataka waandamanaji kuondoka na kuwapa fursa ya kuwalinda wakati wakiondoka na ahadi ya kutowapeleka mahakamani iwapo watatii maelekezo ya wizara hiyo. (HM)
Jumatano serikali inayoungwa mkono na
jeshi nchini humo iliamuru polisi kuwatawanya waandamanaji walioweka
kambi katika midani hizo.
Bw. Morsi Rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia aliondolewa na jeshi mwezi mmoja uliopita. Marekani imeitaka Misri kuheshimu uhuru wa kukutana ikiwemo kuweka kambi katika maeneo ya mikusanyiko. Chanzo: bbcswahili

No comments:
Post a Comment