Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, August 22, 2013

WATOTO WA BILIONEA ALIYEUAWA KILIMANJARO WAFIKA MAHAKAMANI KUSHUHUDIA KESI YA WATUHUMIWA WA MAUAJI YA BABA YAO IKISOMWA



Watoto wa marehemu Erasto Msuya wakiwa na shangazi zao Esta Msuya (kushoto) na Antuja Msuya (kulia) kwenye Mahakama ya Moshi Mkoani Kilimanjarao jana ambapo walishuhuduia watuhumiwa wa mauaji ya baba yao wakisomewa mashtaka mbele ya Hakimu mkazi Munga Sabuni na Mwendesha mashtaka Stella Majaliwa aliwataja washitakiwa hao kuwa ni Shariff Mohamed Athumani (31) Shwaibu Jumanne Said (38) na Musa Mangu (30).picha na mdau  Joseph Lyimo
 

No comments:

Post a Comment