Wavutaji Sigara wa Jijini Nairobi wanavyodhibitiwa kutovuta hovyo sigara mtaani
Baadhi ya wavutaji wa sigara wakiwa katika chumba kimoja katijati ta jiji la nairobi wakivuta sugara kutokana na nchi ya kenya kuweka msimamo na kusimamia sheria ya kutovuta sigara katika eneo lenye watu wengine wasiotumia sigara. jambo hilo humfanya mtu kutembea umbali mrefu kutafuta eneo hilo maalum kwa uvutaji wa sigara tofauti na nchi nyinginezo mnapishana tu na wavutaji tena wakikupulizia moshi usini.
ANATAFUTA WAZAZI WAKE
-
Mwenye picha hapo juu ni Binti wa Kitanzania anaitwa Vivian Mhagama Mvungi.
Alizaliwa Dar es Salaam Mwaka 1999.
Aliwahi kuishi Mlandizi na Morogoro na wa...
NYAKATI NGUMU HUPITA - ALI KAMWE
-
Licha ya kipigo kutoka kwa MC Alger, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu
ya Yanga, Ali Kamwe, ameonyesha matumaini makubwa na kuhimiza mashabiki na
wan...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
-
*1. IMDB*
www.imdb.com
*2. IPP Media*
www.ippmedia.com
*3. Idhaa ya kiswahili DW.DE*
www.dw.de/idhaa-ya-kiswahili/s-11588
*4. Idawa Onlin...
No comments:
Post a Comment