Mayai ya bundi yaliyopatikana katikati ya uwanja kabla ya mpira kuanza.
Dereva wa Yanga, Maulid Makuti, akioshwa na daktari wa timu hiyo, Nassoro Matuzya baada ya kuchanwa na chupa mkononi.
Mashabiki
wa Yanga wakijaribu kuvuka uzio kuingia kwenye eneo la mashabiki wa
Mbeya City ambako walikutana na kufanyiana vurugu kabla ya askari
kuingilia kati.
Gari la mmoja wa mashabiki wa Yanga likiwa limepasuliwa kwa jiwe katika vurugu zilizotokea uwanjani hapo baada ya mchezo.

No comments:
Post a Comment