Mchezaji
wa Zamani Mzee Kondo akiwa katika jezi ya Timu ya Manchester United
wakati wa bonanza la serengeti soka fiesta Mkoani Morogoro leo.Bonanza
hilo limewavutia wakati wa manispaa ya Morogoro wa Rika Mbalimbali
pamoja na wachezaji wa zamani wa timu za ligi kuu na ligi daraja la
kwanza.
Mchezaji
wa zamani wa Timu ya Sunderlanda na Shujaa Mzee Sadick Mwambeta naye
akivaa tayari katika Bonanza na Serengeti Soka Fiesta
MATUKIO NA MICHAPO BLOG
No comments:
Post a Comment