Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, September 4, 2013

EXCLUSIVE::Huu ndio wimbo Unaosemekana uliibwa na Diamond na kuuita "Number one"]Download na usikilize hapa



Huu ndio wimbo wa  Dayna ambao Diamond ameiba bit na melody na kuuita namba one.
Inasemekana awali Dayna alimtaka Diamond wakafanye wimbo kwa Shedy, Diamond akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi Dayna kwamba wangefanya wote. Lakini baadae Diamond akamrubuni Shedy na kumwambia ile bit ampe na aachane na kazi ya Dayna.

No comments:

Post a Comment