Ndani ya
ndege hii "nyumba ya kulala wageni" kuna vyumba 27, unapata utandawazi,
vumba vina luninga, imesha aanza kuchukwa wageni wa kulala na ipo karibu
na uwanja wa ndege wa Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm,
Sweden
Nyumba
hiyo ya wageni ambayo sasa iko tayari kwa biashara imewekwa karibu na
uwanja wa ndege wa Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm, Sweden
Moja ya chumba katika ndege hiyo
Moja ya chumba cha wageni ambacho kina, flatscreen TV and WiFi
Sehemu ya kupumzikia
No comments:
Post a Comment