HAPPINESS WATIMANYWA
Warembo
wa Redd's Miss Tanzania 2013 wakiwa jukwaani usiku huu wakati wa
Onyesho la Taifa la Urembo linalofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City
jijini Dar es Salaam.
Warembo
wa Redd's Miss Tanzania 2013 wakifungua shindano la mwaka huu kwa
kuonyesha ufundi wao wa kucheza muziki. Shindano la mwaka huu ambalo
limedhaminiwa na kampuni ya vinywaji Tanzania.Tanzania Breweries Limited
kupitia kinywaji cha Redds limefanyikia katika ukumbi wa Mlimani City
jijini Dar-es-salaam. Jumla ya warembo 30 kutoka mikoa mbalimbali,vyuo
nk wameshiriki.
Warembo
wa Redd's Miss Tanzania 2013 wakipita jukwaani na mavazi ya aina mbali
mbali wakati wa Onyesho la Taifa Redd's Miss Tanzania 2013 linalofanyika
usiku huu kwenye Ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam usiku
huu.
Mwanamuziki
Mkongwe wa Muziki wa Kizazi kipya hapa nchini,Lady Jay Dee akitoa
burudani kwenye Onyesho la Redd's Miss Tanzania 2013,linalofanyika hivi
sasa kwenye Ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam.PICHA NA MICHUZI MATUKIO
No comments:
Post a Comment