Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, September 18, 2013

HEBU TAZAMA VIZURI HII VIDEO YA OMMY DIMPOZ NA JMARTIN THEN SEMA CHOCHOTE


http://millardayo.com/wp-content/uploads/2013/08/Ommy-Dimpoz-tupogo-448x368.png

Ebaa Jamaa, kwenye hii video Ommy Dimpoz na J Martins walikua wanaimba pamoja na kuitikiana pamoja poa tu ndani ya Bilicanas jana. Lakini kilichotokea katikati ya hii video (kuanzia kwenye dakika 3 na sekunde 18 ) kimenishangaza kidogo.
Walikua wanaimba kwa staili ya kuitikiana(call & response) lakini ghafla J Martins akaanza kumkosoa Ommy Dimpoz kwamba anavyoimba sivyo na kuanza kumuelekeza aimbe vipi, katika njia ambayo ni very patronizing, kama anaongea na mtoto au mwanafunzi vile; mbele ya mashabiki!! Sikiliza kuanzia pale anapoanza kumwambia “no no no no… you have to be sensual (imba kwa sauti nyororo.)” Hivi si ni kuvunjiana heshima jamani?CHANZO BONGOCLAN TZ

No comments:

Post a Comment