Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, September 18, 2013

NAIBU WAZIRI MAJI AZURU ENEO LILIPOPASUKA BOMBA LA MAJI


OLYMPUS DIGITAL CAMERA 
Harakati za ukarabati wa bomba lililopasuka ukiendelea kwa kasi jana usiku. OLYMPUS DIGITAL CAMERA 
Mhandisi Romanus Mwang’ingo wa DAWASA akiangalia utekelezaji wa ukarabati wa bomba lilopasuka jana usiku.
OLYMPUS DIGITAL CAMERANWahandisi na mafundi sanifu wakiwa katika harakati wa kutengeneza bomba lililopasuka jana usiku. OLYMPUS DIGITAL CAMERA 
Naibu Waziri wa Maji, Dk. Binilith Mahenge (kushoto) akifuatilia kwa makini kazi ya kutengeneza bomba liliopasuka, pamoja na Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Archad Mutalemwa jana usiku. OLYMPUS DIGITAL CAMERA 
Wahandisi na mafundi sanifu wakichomelea bomba lilipasuka jana usiku. OLYMPUS DIGITAL CAMERA 
Mafundi wakiendelea na kazi ya kukarabati bomba lilipasuka jana usiku.

No comments:

Post a Comment