Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, September 17, 2013

KENYA WAZIDI KUPIGA HATUA TAZAMA PICHA ZA NDEGE YAO MPYA AINA YA “BOEING 777-300ER”

clip_image001Shirika la ndege la Kenya ‘Kenya Airways’ linatarajia kupokea ndege mpya ya Boeing 777-300ER mwezi ujao (October) ikiwa ndio ndege kubwa zaidi ya shirika hilo ambalo pia hufanya safari za kuja Tanzania.Boeing 777-300ER ina uwezo wa kubeba abiria 400.
Tazama picha za ndege hiyo ikiwa kiwandani wakati wa inaundwa maalum kabisa kwa ajili ya Kenya Airways
Picha: Nairobi Wire

No comments:

Post a Comment