Simba Bila Mbeya City Fc Bila
Mashabiki wa Pande zote wakingoja mpira kwa hamu kubwa
Timu ya Simba na Mbeya City Fc wakiwa wanaingia uwanjani
Wachezaji wa Mbeya City Fc wakiwa wanasalimiana na Wachezaji wa Simba kabla ya Mechi kuanza
Wachezaji wa Timu zote Mbili wakiomba Dua
Mpira ukiwa umeanza kwa kasui
Hivi ndivyo Walivyo fanya mashambulizi ya kufunga goli la kwanza
Baada ya Simba kufunga Goli
Mashabiki wa Simba wakishangilia goli la kwanza
Mashabiki wa Simba wakishangilia Goli la Pili
Mbeya City Fc wakishangilia Goli lao la kwanza
Wachezaji wakiwa wanatoka kwa ajili ya Mapumziko
Baadhi
ya Mashabiki wa Mbeya City FC wakiwa wana moto wa kuja kutazama Mechi
ya Mbeya City na Simba, Ambapo mashabiki hao wamefunga safari kutoka
Mbeya kuja kushuhudia Mechi.
Mashabiki wa Mbeya City Fc wakiwa wanavuka Barabara Kuelekea uwanjani
Ulinzi ukiwa umeimarishwa nje ya Uwanja wa Taifa
Baadhi ya Mashabiki wakiwa wanajiandaa kuingia uwanjani kushuhudia Mechi kati ya Simba na Mbeya City
Mashabiki wakiwa wanaingia katika uwanja wa Taifa kushuhudia Mechi kati ya Simba na Mbeya City
Hizi ni baadhi ya Tshirt ambazo zinauzwa za Timu ya Simba
Mmoja ya Mashabiki wakiwa ameshikilia Tiketi yake tayari kuingia uwanjani
Baadhi ya Mashabiki wa Mbeya City Fc wakiwa tayari kwa ajili ya Mechi hiyo
Mashabiki wa Simba wakiwa Tayari kwa ajili ya Mechi hiyo
Hapa Ubao wa Kidijitali kwa ajili ya kuoneshea magoli bado haujawashwa ......
Endelea kufuatilia Hapa hapa Bila kutoka........ Tukio zima ni Live
No comments:
Post a Comment