Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, September 26, 2013

New Track:- Mako-Sana – Unaniponda



Ni msanii anayekwenda kwa jina la Mako-Sana, Chipkizi anayetokea pande za Ruangwa – Lindi Huu ndio wimbo wake wa Kwanza Unaoitwa:- Unaniponda Beat Imetengenezwa Studio ya Biashara Record na Producer KP - Lindi Sauti imeingizwa Studio ya Sit Music – Mbagara, Producer Oscar Naomba mnipokee! Usikilize/Udownload hapa chini:-

No comments:

Post a Comment