Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, September 10, 2013

PICHA:::HII NDIO KEKI ALIYOANDALIWA MSANII WIZ KHALIFA NA MKEWE AMBER ROSE

EZWA NA AMBER ROSE ...

Star kutoka pande za kwa Obama maarufu kama Wiz Khalifa siku ya jana ambayo ilikuwa ni tarehe 8 September ilikuwa ni siku maalumu ya rapper huyo kwani alikuwa akitimiza miaka "26" tangu kuzaliwa kwake.
Mke wa rapper huyo ambae pia ni mama wa mtoto wa rapper huyo ambae anajulikana kama Amber Rose alimuandalia zawadi ya Cake ambayo alikuwa ameitengeneza mwenyewe. 
Mbali na zawadi hiyo Amber alikuwa akitupia baadhi ya tweets ambazo zilikuwa zikonyesha kumpongeza Wiz Khalifa
Cheki hizi ndio baadhi ya tweets zenyewe kutoka kwa Amber Rose ...

No comments:

Post a Comment