Mwenyekiti
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph S. Warioba atafanya
mkutano na Waandishi wa Vyombo vya Habari kuzungumzia maendeleo ya kazi
za Tume, siku ya kesho Alhamisi, Septemba 26, 2013 katika Ukumbi wa
Karimjee Jijini Dar es Salaam kuanzia saa 4:00 asubuhi na kuendelea.
Wanahabari Mnakaribishwa.
No comments:
Post a Comment