Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, September 25, 2013

JB, WEMA SEPETU NDIYO WASANII WANAOONGOZA KWA KUPENDWA KWA UPANDE WA BONGO MOVIE



Baada ya utafiti uliyofanywa na staring Zamaradi Mletema kupitia Take one ya Clouds na kubahatika kuwapata wasanii wa Bongo muvi wanaongoza kwa kupendwa na mashabiki hapa Tanzania kutokana na kazi zao za Filamu.


JB ni mmoja wa wasanii kwa upande kiume anaeongoza kwa kupendwa na mashabiki wake kutokana na uwezo wake katika uigizaji wa muvi, ila funga kazi kwa mwanadada Wema Sepetu ndiyo msanii wa pekee wa Bongo muvi anaeongoza kwa kupendwa na mashabiki lukuki wa mjini na vijijini, licha kuwa na skendo zake kibao ila Watanzania wana-show love kwake.

No comments:

Post a Comment