Tokyo inayojivunia usalama
imeuhakikishia ulimwengu kuwa kuvuja kwa miale ya atomiki kutoka kinu
cha nyuklia cha Fukushima kutashughulikiwa kwa wakati ufaao na kuongeza
kuwa uvujaji huo haipaswi kuzua wasiwasi kwa maandalizi hayo ya michezo
yaOlimpiki. Waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe ambaye alihudhuria mkutano
huo wa IOC, ameusifu ushindi huo Tokyo na kuahidi kuwa serikali yake
italishughulikia tatizo la Fukushima ili kuuhakikishia ulimwengu kuwa
Tokyo inastahili nafasi hiyo.
ILA NYIE CCM NI NOMA SANA, YAANI UBAYA UBWELA
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
NILIKUWA Najiongelesha tu kichwani kuhusu hii CCM basi nikajikuta nacheka
tu,ndio kununa siwezi. CCM kwa jinsi walivyo hawa ...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment