Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, September 11, 2013

URENO WAPIGWA 3-1 NA BRAZIL

Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail
WAKATI England wakihangaika kufuzu fainali za kombe la Dunia ingawa wamepumua baada ya kupata suluhu ya bila kufungana na Ukraine usiku wa jana, kwa Wabrazil mambo yanazidi kuwa barabara baada ya Neymar kuendelea kung`ara na kikosi chake cha Timu ya Taifa kuashiria kuwa majira ya kiangazi mwakani watakuwa wanasaka mwari wa kombe la Dunia.
Ndiyo, ilikuwa mechi ya kirafiki tu dhidi ya Ureno yenye nyota wake Cristiano Ronaldo, lakini Neymar mwenye umri wa miaka 21 ameonesha thamani yake nyuma ya kivuli cha nyota mwenzake wa FC Barcelona, Lionel Messi baada ya kuingoza Brazil kupata ushindi wa mabao 3-1.
Kikosi cha Brazil: Julio Cesar, Maicon, Thiago Silva, Luiz, Maxwell, Paulinho (Henrique 83), Gustavo, Ramires (Oscar 61), Bernard (Hernanes 68), Jo (Pato 76), Neymar (Lucas Moura 89). Subs not used: Jefferson, Marcos Rocha, Fernando, Dante.
Aliyeoneshwa kadi: Neymar, Ramires.
Waliofunga mabao: Thiago Silva 24, Luiz, Neymar 34.
Kikosi cha Ureno: Rui Patricio, Joao Pereira (Postiga 70), Pepe (Luis Neto 46), Bruno Alves, Fabio Coentrao (Antunes 54), Veloso, Vieirinha (Lica 84), Meireles, Joao Moutinho (Ruben Amorim 59), Nani, Nelson Oliveira. Subs not used: Eduardo, Andre Martins, Ricardo Costa, Adrien Silva, Josue, Lopes.
Waliooneshwa kadi: Pereira, Postiga, Bruno Alves.
Bao: Meireles 18.
All eyes on me: Neymar bewitched the Portuguese all night, capping a magnificent display with a remarkable solo goalMacho yote juu yangu: Neymar amewafanya kitu mbaya sana Ureno usiku wa jana huku akipiga goli matata

He'll take some stopping: Neymar and Brazil appear to be hitting form at exactly the right timeHazuiliwi: Neymar na Brazil wanaonekana kuimarika zaidi 
Dancing for joy: Raul Meireles (left) and Miguel Veloso (right) celebrate the opening goalFuraha kinoma noma: Raul Meireles (kushoto) na Miguel Veloso (kulia) wakishangilia bao lao la kwanza


Party time: Portugal flock to celebrate the first goalMuda wa shangwe: Ureno wakishangilia bao lao la kwanza ambalo likageuka kuwa la kufutia machozi

Parity restored: Thiago Silva meets Neymar's corner with a thundering header to level the scoreCheki kitu cha ndosi: Thiago Silva akipaa hewani kumalizia kona iliyochongwa na Neymar na kupachika bao
Close run thing: Nani (right) reacts after missing a chanceOoh! Mungu wangu: Nani (kulia) akijilaumu baada ya kupoteza nafasi ya kufunga

Jump to it: Jo (third left), who scored the third, clears a cornerMambo ya ndosi: Jo (watatu kushoto), aliyefunga bao la tatu akiosha mpira wa kona

No comments:

Post a Comment