Afisa
masoko wa TBL Mwanza Bw Juma Akida akitoa jezi kwa mashabiki wa vilabu
vya Yanga na Simba katika bonanza la NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya
Kilimanjaro.Bonanza hilo limefanyika ktk viwanja vya Police Line
Mabatini jijini Mwanza leo.
Afisa
masoko wa TBL Mwanza Bw Juma Akida akitoa jezi kwa mashabiki wa vilabu
vya Yanga na Simba katika bonanza la NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya
Kilimanjaro.Bonanza hilo limefanyika ktk viwanja vya Police Line
Mabatini jijini Mwanza leo.
Kikosi cha Timu ya mashabiki wa Yanga
Kikosi cha mashabiki wa Simba
Timu za mashabiki wa Yanga na Simba wa Mabatini jijini Mwanza zikiwa katika pichaza pamoja kabla ya kuanza mpambano wa mpira wa miguu ktk viwnja vya Police
Line Mabatini. Ni ktk bonanza la NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro.
Wakazi wa Mwanza wakifuatilia mpambano mkali kati ya mashabiki wa Simba na Yangaktk bonanza la NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro kwenye viwanja vya
Pilice Line Mabatini jijini Mwanza leo tar 27/10/13
Ni ubao wa matokeo ukinyesha mpambano wa asubuhi ya leo mashabiki wa Simbawamewafunga wapinzani wa magoli 3-0. Hii ni ktk bonanza la NANI MTANI JEMBE
kupitia bia ya Kilimanjaro kwenye viwanja vya Plice Line Mabatini Mwanza.
Mashabiki wa watani wa jadi wakimenyana uwanjani ktk soka na wale wa Simbakuibuka na ushindi wa mabao 3-0. Ni ktk bonanza la NANI MTANI JEMBE
jijini Mwanza leo.
Wasanii wa kundi la Wakali dancers wakitoa burudani kwa wakazi wa Mwanzakwenye bonanza la NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro leo ktk
viwanja Police Line Mabatini Mwanza.
Picha zote na Executive Solutions.

No comments:
Post a Comment