Mama mmoja amepigwa risasi
na polisi kujeruhiwa vibaya
maeneo ya mapato arusha.chanzo cha
tukio hilo kinasema kwamba mama huyo alifika maeneo hayo na kupaki gari
yake akitaka kuingia bank lakini akaambiwa eneo hilo halifai kupaki gari,Mama
huyo alipaki gari na kuingia bank alipotoka alikuta gari lake limetolewa upepo
na ndipo vurugu ilianzaa baina yake yeye na polisi.Vurugu ilipokuwa kubwa mama
huyo aliwaambia polisi kwamba wasimtishie bunduki hata yeye anayo na alipotaka
kuitoa polisi wakampiga risasi.Mama huyo ni muuzaji maarufu wa madini jijini arusha.Mama huyo amekimbizwa hospitali na yupo chumba cha upasuaji.CHANZO CLOUDS FM
NAIBU WAZIRI KIHENZILE ATEMBELEA BANDA LA TCAA MKUTANO WA 18 WA PAMOJA WA
MAPITIO YA SEKTA YA USAFIRISHAJI
-
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile, Disemba 15, 2025
ametembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) katika
Mkutano wa 18 wa...
8 hours ago


No comments:
Post a Comment