Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, October 1, 2013

Dk shein aagana na balozi wa marekani aliyemaliza muda wake wa kazi nchini mhe Alfonso Lenhartd


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhartd,alipofika  Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Balozi wa Marekani Nchini Tanzania  Alfonso Lenhartd,alipofika leo Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhartd,baada ya mazungumzo yao alipofika  Ikulu Mjini Zanzibar  kumuaga Rais,akiwa amemaliza  muda wake wa kazi nchini. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment