Kiwanda
cha Ok Plast kilichopo Vingunguti Dar es Salaam kinaungua moto.Habari
za awali zinasema moto huo umesababishwa na kijana aliyekuwa anachoma
mabaki ya plastiki kando ya ghala la kiwanda hicho.
YANGA SC YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA AL AHLY
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
KLABU ya Yanga imelazimishwa kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Al ahly ya Misri,
mchezo ambao umepigwa kwenye dimba la New Aman Z...
2 hours ago


No comments:
Post a Comment