skip to main |
skip to sidebar
MAADHIMISHO YA SIKU YA UNAWAJI MIKONO ZANZIBAR
Mmoja wa wasanii wa kikundi cha
Kigunia Arts Group akinawa mikono kama ishara ya kuadhimisha siku ya
Unawaji Mikono Duniani ambapo kwa Zanzibar Maadhimisho hayo iliofanyaka
Kijiji cha Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Baadhi ya wanafunzi waliofika katika
madhimisho ya siku ya Unawaji Mikono Duniani yalifanyaka Kijiji cha
Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Mwakilishi wa Shirika la kimataifa la
Watoto UNICEF Khamis Ussi Khamis akitoa salamu za shirika hilo kuhusu
madhimisho ya siku ya Unawaji Mikono Duniani iliofanyaka Kijiji cha
Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya
Zanzibar, Muhammed Dahoma na Kaimu Mkuu Kitengo cha Afya Mazingira Bi.
Rukaiya Mohamed Said wakibadilishana mawazo wakatika wa madhimisho ya
siku ya Unawaji Mikono Duniani ilioadhimishwa Kijiji cha Mangapwani Mkoa
wa Kaskazini Unguja.
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Sira Ubwa
Mamboya akiwahutubia wananchi katika madhimisho ya siku ya Unawaji
Mikono Duniani iliofanyaka Kijiji cha Mangapwani Mkoa wa Kaskazini
Unguja.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
No comments:
Post a Comment