Kwa wale walioomba nafasi za kazi katika taasisi na ofisi mbalimbali za uma
na wakafanyiwa usaili majina yao yapo ktk Mtandao Tayari, kuona majina ya
waliochaguliwa fuata Link hii
MRADI WA KIMKAKATI WA UTAFITI WA MAFUTA NA GESI WAENDELEA MIKOA MITANO
-
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) linaendelea kutekeleza
mradi mkubwa wa kimkakati wa utafiti wa mafuta na gesi asilia katika kitalu
cha E...
1 hour ago

