Uchaguzi wa shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) unataraji kufanyika tarehe 27/10/2013.
Wagombea wawili ndugu Jamal Malinzi na Athumani Nyamlani wamejitokeza
kuwania kiti cha Uraisi,sisi kama wadau wakubwa wa mchezo wa soka hapa
nchini tumekuwa tuziona changamoto mbali mbali ambazo zimekuwa
zikiukabili mchezo wa soka hapa nchini kwetu, WADAU MNAOMBWA KUTOA
MAONI YENU JUU YA SIFA AMBAZO RAISI ATAKAYECHUKUA MIKOBA YA LEODEGAR
TENGA AWE NAZO.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI


No comments:
Post a Comment