Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, October 24, 2013

MTOTO ANAOMBA MSAADA WA KUTIBIWA HONOLINA MKAZI WA MGETA


Mtoto Honolina Christian miaka 11 mkazi wa mgeta Mkoani Morogoro anaomba msaada kwa wasamaria wamsaidie kupata fedha za matibabu ya maradhi yake yanayomsumbua tangu alipozaliwa  mama mzazi wa mtoto huyo Grace John kutoka mgeta anasema mwanae anateseka kwa muda mrefu hivyo anaomba asaidiwe ili apate kutibiwa



No comments:

Post a Comment