Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, October 20, 2013

Mwanahabari maarufu Julius Nyaisanga a.k.a Uncle Jay amefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya Mazimbu mjini Morogoro.



Nyaisanga ambaye alikuwa ni Meneja wa Abood Radio na Abood TV, pia amewahi kuwa mtangazaji na mkurugenzi wa zamani wa ITV Tanzania & RadioOneStereo amefariki dunia kwa matatizo ya kisukari na presha.

No comments:

Post a Comment