Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, October 20, 2013

PICHA DIAMOND ALIVYOPIGA SHOW NCHINI CHINA




Msanii wa Bongo Fleva Diamond alikuwa China kwa muda wa wiki mbili akijipanga kwa ajili ya show yake aliyofanya weekend hii. Show imefanyika Guangzhou ndani ya Rich Club na Kama kawaidia Diamond Plutinumz alifanya show nzuri na fans waliridhika.
Picha Iko Hapa



No comments:

Post a Comment