Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, October 8, 2013

PICHA NANDO AKISHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WASHIRIKI WENZAKE WA BBA

Katika hali ya kushangaza keki ya Nando iliwekwa picha ya bangi ambapo mashabiki wake walijiuliza kama kweli jamaa ni mtumiaji wa hiko kitu?
Mshiriki wa BBA'The Chase'2013 kutoka Bongo Ammy Nando amesheherekea siku yake ya kuzaliwa na washiriki wenzake wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali ambao ni Beverly wa Nigeria,swahiba wake Bimp wa Ethiopia na Angelo wa Sauzi.
 
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment