Moto
ulioleta hofu katika eneo la viwanda la Vingunguti jijini Dar es
Salaaam jana mchana, ukiteketeza mabaki ya mali ghafi za kiwanda cha
Plastiki cha OK Plastics Limited, ambao ulisambaa eneo hilo na kuzua
tafrani kubwa baada ya moto huo kuwashwa na mtu ambaye hadi sasa
anashikiliwa na polisi kwa kuchoma mabaki ya malighafi hizo na kuzua
kizaa zaa. Picha na Francis Dande
Moto huo ukiendelea kuwaka ambao baadaye ulifanikiwa kudhibitiwa na maagari ya zimamoto.
Ni moshi mzito uliokuwa umesambaa eneo hilo.
Chanzo Sufiani Mafoto Blog
Chanzo Sufiani Mafoto Blog
No comments:
Post a Comment