Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, October 8, 2013

Rais aweka jiwe la msingi kiwanda cha kuua vidudu vinavyosababisha malaria Kibaha mkoani Pwani


02Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akiweka jiwe la msingi la kiwanda cha kuzalisha dawa za kuulia viluwiluwi vya mbu wa malaria leo kilichopo nje kidogo ya mji wa Kibaha mkoani Pwani.(Picha zote na Eleuteri Mangi-Maelezo) 03 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akitoa hotuba wakati wa kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha kuzalisha dawa za kuulia viluwiluwi vya mbu wa malaria leo kilichopo nje kidogo ya mji wa Kibaha mkoani Pwani. 04Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (wa kwnza kulia) akiteta jambo na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda (katikati) na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hussein Mwinyi (wa kwanza kushoto) wakati wa hafla ya kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha kuzalisha dawa za kuulia viluwiluwi vya mbu wa malaria leo kilichopo nje kidogo ya mji wa Kibaha mkoani Pwani. 05Balozi wa Cuba nchini Jorge Luis Lopez Tarmo (wa kwanza kulia) akimkabidhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete zawadi ya picha ya Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere na Fidel Castro wakati hafla ya kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha kuzalisha dawa za kuulia viluwiluwi vya mbu wa malaria leo kilichopo nje kidogo ya mji wa Kibaha mkoani Pwani. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa LABIOFAM Dkt. Jose Frag Castro akifuatiwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda.
01Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) Dkt. Chrisant Mzindakaya (kulia) wakati akiwasili katika viwanja vya eneo la kiwanda cha kuzalisha dawa za kuulia viluwiluwi vya mbu wa malaria leo kilichopo nje kidogo ya mji wa Kibaha mkoani Pwani.06Baaadhi ya wafanya kazi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), wafanyakazi wa LABIOFAM na wageni waalikwa  wkimsikiliza Mgeni Rasmi (hayupo pichani) wakati wa hafla ya kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha kuzalisha dawa za kuulia viluwiluwi vya mbu wa malaria leo kilichopo nje kidogo ya mji wa Kibaha mkoani Pwani. 07 Picha ya pamoja ya Rais Dkt. Jakaya Kikwete na wageni waalikwa mara baada ya kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha kuzalisha dawa za kuulia viluwiluwi vya mbu wa malaria leo kilichopo nje kidogo ya mji wa Kibaha mkoani Pwani. 08Rais Dkt. Jakaya Kikwete akitembelea baadhi ya sehemu za kiwanda cha kuzalisha dawa za kuulia viluwiluwi vya mbu wa malaria mara baada ya kuweka jiwe la msingi la kiwanda hicho leo kilichopo nje kidogo ya mji wa Kibaha mkoani Pwani. 09Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na akina mama mara baada ya kuwasili katika viwanja vya eneo la kiwanda cha kuzalisha dawa za kuulia viluwiluwi vya mbu wa malaria leo kilichopo nje kidogo ya mji wa Kibaha mkoani Pwani.

No comments:

Post a Comment