*Saa mbili hadi tatu kuwasili (0800-0900 hrs) kwa Maafisa na Watumishi wa Umma na waombolezaji uwanja wa mpira Lugalo 521 KJ
*Saa nne na dakika tano asubuhi (1005 hrs) kuwasili Mwili wa Lt. Rajab Mlima
*Saa
nne na dakika kumi hadi saa tano na dakika ishirini (1010-1120 hrs)
Mgeni Rasmi kuwaongoza waombolezaji kutoa heshima zao za mwisho.
Saa tano na dakika thelathini na tano (1135 hrs) mwili wa kuondolewa Lugalo kupelekwa nyumbani Mbezi Beach.
*Saa tano na dakika arobaini na tano (1145 hrs) mwili kuwasili nyumbani Mbezi Beach.
*Saa sita mchana hadi saa nane na nusu (1200-1430) sala ya kumuombea marehemu na chakula cha mchana.
*Saa tisa kasorobo mwili utaondoka kuelekea msikiti wa Maamur Upanga Dar Es Salaam.
*Saa kumi kamili hadi saa kumi na robo (1600-1615) sala ya Alasiri na sala ya kumuombea Marehemu.
*Saa kumi na nusu 1630 hrs mwili kuwasili Makaburi ya Kisutu na taratibu za mazishi. Na kuondoka baada ya mazishi.
No comments:
Post a Comment