Meneja Mauzo
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Wilaya ya Temeke, Patrick Swai
(kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil.
35, Mhandisi wa Kampuni ya Drima Drima Drilling, Amiri Msangi kwa ajili
ya
gharama ya uchimbaji wa kisima cha maji katika Zahanati ya Kibada iliyopo Kingamboni Dar es Salaam. Anayeshudia makabidhiano hayo yaliyofanyika juzi katika zahanati hiyo ni Mganga Mfawidhi wa Zahanati hiyo Dk. Isabela Ipopo
No comments:
Post a Comment