Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, October 22, 2013

WAANDISHI WA HABARI WATIMULIWA KWENYE ZIARA YA JK KISA HAWANA VITAMBULISHO VYA IKULU



Pichani mwandishi wa habari wa TBC Mbeya Bw Hosea Cheyo akiondoka eneo la tukio katika Hospital ya Ludewa baada ya maofisa usalama wa Kikwete kutimua wanahabari wasio kuwa na vitambulisho vya Ikulu jambo ambalo limepingwa na wahabari kuwa ni unyanyasaji mkubwa (Picha na Francis Godwin)

No comments:

Post a Comment