Balozi
Abraham Isaac Sepetu amefariki dunia mapema leo akiwa katika hospitali
ya TMJ alikokuwa amelazwa akitibiwa ugonjwa wa Kisukari na kiharusi
alioupata hivi karibuni mjini Zanzibar. Balozi Sepetu, ambaye pia ni
baba mzazi wa Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu, hadi anapatwa na
ugonjwa na hatimaye mauti, alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya
Mamlaka ya Uwekezaji wa Vitega Uchumi Zanzibar. PICHA: Maktaba
DKT.NCHIMBI ASHIRIKI KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM MKOANI DODOMA
-
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (CCM)
ambaye ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dodoma, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano ...
1 day ago


No comments:
Post a Comment