Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, November 19, 2013

Berry white alichoma Moto Gari la Mpenzi wake Tazama Picha

Artist Berry White
Artist anayewakilisha Zenji ktk game ya bongo flava Berry white inasemekana amelichoma Moto garI la mpenzi wake na Gari Hilo likateketea kama unavyoona hapo, kwa mujibu wa cha chanzo chetu cha habari kinadai kuwa chanzo cha tukio Hilo ni baada ya Berry kushtukia dem wake ameenda kufanya mambo ya chumbanI na mwanaume mwingine, ndo huku Nyuma jamaa akaamua kupiga kiberiti Gari, bado tunaendelea kumtafuta berry white ili na yeye atoe ya moyoni....chanzo gazeti la makorokocho blog
Hii ndo ndinga iliyopigwa Moto na Msanii Berry White, nia aina ya Spacio na mwanzo lilikua lina rangi Nyekundu

No comments:

Post a Comment