Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
(wa sita mstari wa tatu nyuma) akiwa katika picha ya pamoja na
Viongozi wa nchi mbalimbali za Afrika wakati alipohudhuria katika
Mkutano wa mkuu wa tatu wa nchi za Kiarabu, 'Afro Arab' uliofanyika leo
Nov 19, 2013 nchini Kuwait.
Makamu
wa Rai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na baadhi ya viongozi wa nchi za Afrika, wakati wakiwasili
kwenye ukumbi wa Mkutano wa Tatu wa nchi za Kiarabu 'Afro Arab',
uliofanyika nchini Kuwait, leo Nov 19, 2013. Picha na OMR.


No comments:
Post a Comment