Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, November 18, 2013

HUKUMU YA KESI YA KAJALA KURUDIWA UPYA BAADA YA MUMEWE KUKATA RUFAA YA KESI HIYO..!!



Kajala Masanja.

Msanii wa filamu Kajala Masanja atahukumiwa upya Novemba 25 mwaka huu, baada ya mumewe kukata rufaa. Hukumu ya rufaa ilibidi isomwe leo katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam lakini imeahirishwa baada ya Jaji aliyetakiwa kusoma hukumu hiyo kupata hudhuru!

GPL

No comments:

Post a Comment