Habari
zilizotufikia ni kua mke wa DR John mmoja wa wasanii wanaounda kundi la
Wagosi wa kaya amefariki dunia siku ya leo. Tunaendelea kutafuta
mawasiliano na mwakilishi wetu ambaye atatuunganisha na DR John ili
tuweze kuwaletea habari kamili. Bongoclan inatoa pole sana kwa familia
ya DRJohn.
Wamachinga Dar wakemea uvunjifu wa amani
-
wadai suluhu ya changamoto haitatuliwi kwa uvunjifu wa amani.
Na Mwandishi Wetu
Umoja wa wa Wajasiriamali wa Mkoa wa Dar es Salaam umewataka Watanzania...
11 hours ago

No comments:
Post a Comment