Mwili wa Mtanzania Jerry Isaack Mruma
aliyekuwa akisoma
aliyekuwa akisoma
Chuo
Kikuu cha Kimataifa cha
Marekani (USIU) tawi la
Nairobi nchini Kenya akichukua
Shahada ya
Uzamili ya
Utawala wa Biashara (MBA)
aliuawa wakati akitoka
kwenye hafla ya
usiku wa
Mtanzania mjini Nairobi.
Mwili
wake ulipatikana mwishoni
mwa wiki iliyopita.
mwa wiki iliyopita.
Amezikwa leo katika makaburi
ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Familia ya Isaack Mruma ikiwa
katika
ibada maalum ya
kumuombea marehemu iliyofanyika
katika Kanisa la
katika Kanisa la
KKKT,
Usaharika wa Mbezi Beach
Dar es Salaam.
Kutoka
kushoto ni Mama
mzazi wa Jerry,
mzazi wa Jerry,
Bi Joyce Mruma, Khan Mruma
ambaye ni kaka
ambaye ni kaka
wa marehemu, baba mzazi wa
Jerry, Isaack
Mruma na mdogo wake Kelvin
Mruma
wakiwa katika ibada hiyo.
wakiwa katika ibada hiyo.
Ndugu jamaa na marafiki
wakiwa katika ibada hiyo.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari
MAELEZO, Assah Mwambene a
kipita kutoa heshima za mwisho.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya
mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkomwa akipita kutoa heshima za mwisho.
mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkomwa akipita kutoa heshima za mwisho.
Waziri Mkuu wa Zamani wa Tanzania,
Cleo David Msuya (kulia) '
Cleo David Msuya (kulia) '
akimfariji Isaack Mruma kwa
msiba wa mtoto wake.
msiba wa mtoto wake.
Cleopa David Msuya akimfariji
mama wa Jerry, Joyce kwa msiba wa mwanae.
Mama mzazi wa Jerry akitoa
heshima za mwisho kwa mwili
wa marehemu mwanae.
Isaack Mruma akitoa heshima za
mwisho kwa mwili wa mtoto wake Jerry Mruma.
Mwili ulitolewa Kanisani na safari
ya Makaburini Kinondoni ilianza.
ya Makaburini Kinondoni ilianza.
Mwili wa Marehemu Jerry
ukifikishwa makaburini.
ukifikishwa makaburini.
Kelvin akimfariji
mama yake.
Hakika ni majonzi sana kwa
familia hii...na Mungu daima
aliwapa nguvu na kuendelea na
safari ya mwisho ya mpendwa wao.
Wazazi wakiweka udongo
katika kaburi
katika kaburi
Nimajonzi yalikuwa
kwa kila mtu...
Mafundi wakifanya yao...
familia ya ikiwa makaburini.
Isaack Mruma na mkewe
Joyce
Mruma wakiweka shada la
maua katika kaburi la mtoto wao
Jerry Mruma
aliyezikwa jana katika makaburi
ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Jerry
aliuwawa na watu wasio
julikana nchini Kenya alikokuwa akisoma.
julikana nchini Kenya alikokuwa akisoma.
Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba
na Maendeleo ya Makazi ,
na Maendeleo ya Makazi ,
Goodluck Ole Medeye akiweka shada.
Prof. John Nkoma wa
TSRA akiweka shada.
Pudensiana Temba akiweka shada
la maua kwaniaba ya Staff wa TSN.
wananchi makaburini
PICHA ZAIDI INGIA HAPA FATHER KIDEVU BLOG
No comments:
Post a Comment