WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA
3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 26/11/2013.
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani
na Tanga]:
[Mikoa ya Kigoma, Shinyanga
na Tabora]:
[Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza]:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro
na Mtwara]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Mkoa
wa Ruvuma]:
|
|
Hali
ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya
maeneo na vipindi vifupi vya
jua.
|
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mkoa wa Singida]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo
machache na vipindi vya jua.
|
[Mkoa wa Dodoma ]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
ANGALIZO: MVUA KUBWA
ZINATEGEMEWA KUENDELEA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA RUKWA, KATAVI, IRINGA, NJOMBE, MBEYA NA
RUVUMA
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA
MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
28°C
|
14°C
|
12:12
|
12:26
|
D'SALAAM
|
30°C
|
24°C
|
11:55
|
12:21
|
DODOMA
|
32°C
|
20°C
|
12:11
|
12:33
|
KIGOMA
|
25°C
|
21°C
|
12:37
|
12:55
|
MBEYA
|
25°C
|
15°C
|
12:16
|
12:46
|
MWANZA
|
26°C
|
18°C
|
12:28
|
12:39
|
TABORA
|
27°C
|
20°C
|
12:25
|
12:43
|
TANGA |
32°C
|
23°C
|
12:00
|
12:18
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
24°C
|
11:55
|
12:21
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini-Mashariki
kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani
yote
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.
Matazamio kwa siku ya Alhamisi:
28/11/2013: Mabadiliko kidogo
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe 26/11/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
No comments:
Post a Comment