
Mabao
matatu yaliyopigwa na Cristiano Ronaldo yameivusha Ureno kucheza Kombe
la Dunia mwakani. Ushindi huo wa mabao 3-2 dhidi ya wenyeji Sweden ambao
nao mabao yao mawili yalifungwa na nahodha, Zlatan Ibrahimovic. Katika
mechi ya kwanza, Sweden ikiwa ugenini ilikutana na kipigo cha bao
1-0. Ureno ilianza kupata bao kupitia Ronaldo, wenyeji Sweden
wakasawazisha na kufunga mabao mawili kupitia Ibrahimovic. Lakini
Ronaldo alipiga mabao mawili harakaharaka na kumaliza kabisa matumaini
ya wenyeji

No comments:
Post a Comment