
Ufaransa
imefanikiwa kufuzu kucheza Kombe la Dunia baada ya kuigeuzia kibao
Ukraine na kuichapa mabao 3-0. Awali Ukraine ilishinda kwa mabao 2-0
ikiwa nyumbani na kuweka matumaini ya juu kusonga mbele katika mechi
hiyo ya marudiano ugenini. Lakini leo kwa mabao ya Mamadou Sakho
aliyefunga mawili na Karim Benzema, Ufaransa imetinga fainali ya Kombe
la Dunia. Ilionekana ni vigumu kwa Wafaransa kusonga mbele baada ya
kufungwa mabao 2-0 katika mechi ya kwanza


No comments:
Post a Comment