Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, November 8, 2013

Walter Chilambo - Mi Ni Wako (Official Video)

Baada ya kututangulizia kionjo cha video hii ambayo watu wengi walikuwa wakiisubiri kwa hamu, sasa msanii Walter Chilambo ambae alikuwa ndie mshindi wa EBSS 2012 ameamua kuachia kichupa chake kipya kabisa kinachokwenda kwa jina la Mi Ni Wako.
Chukua dakika zako chache za kuweza kukitazama kichupa hiki hapa chini...

No comments:

Post a Comment