Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, November 8, 2013

HOT NEWSSS:: MZEE ALIYEZIKWA HAI AFUKULIWA AKUTWA AMEKUFA MWILI WAKABIDHIWA NDUGU NA KUUZIKA UPYA TUNAOMBA RADHI KWA PICHA MTAKAZOZIONA


SHUGHULI ZA UFUKUAJI ZAANZA CHINI YA USIMAMIZI WA JESHI LA POLISI
JUHUDI ZA KUENDELEA KUUFUKUA MWILI WA ALIEZIKWA HAI ZAENDELEA
NI KAZI NI NZITO NA INAHITAJI UVUMILIVU
MWILI WA ALIEZIKWA HAI WAANZA KUONEKANA
MSAMARIA MWEMA ALIYEJITOLEA KUUTOA MWILI BAADA YA KUUKUTA 
MWILI WA MAREHEMU MWAIKASU AMBAYE ALIZIKWA AKIWA HAI UKIENDELEA KUIBULIWA KABURINI
KATIKATI MJANE WA ALIYEZIKWA HAI
MWILI UKIWA TAYARI KWA KUZIKWA UPYA
NDUGU WAKIWA NA SIMANZI 
MOJA YA WANAUSALAMA AKIWASHUKURU NDUGU KWA UVUMILIVU WALIYOUONYESHA KATIKA MSIBA HUU MZITO
ULITOKA KWA UDONGO UTARUDI KWA UDONGO NDIYO NDUGU WA MAREHEMU WALIVYOKUWA WAKISEMA
SHUGHULI YA KUZIKA UPYA IKIENDELEA
SHUGHULI YA MAZISHI IMEKAMILIKA KWA AMANI NA UTULIVU LAKINI HAKUNA WANAKIJIJI WALIYOJITOKEZA KATIKA MSIBA HUU HOFU KUKAMATWA NA DOLA


Picha na Ezekiel Kamanga
Mbeya yetu

No comments:

Post a Comment