MAHAKAMA
ya mwanzo, mjini Mbeya, imewahukumu kifungo cha miezi 12 kwenda jela au
kulipa faini ya
sh.300,000 kila mmoja, watu watano kati ya sita
walioshitakiwa kwa kosa la kuharibu mali katika mchezo wa ligi
kuu ya
Vodacom kati ya Mbeya city na Tanzania Prisons.Tunaipongeza mahakama kwa maamuzi yaliyofanywa ili iwe fundisho kwa wengine.
Na Mbeya yetu
HAPO CHINI NI PICHA ZIKIONYESHA UHARIBIFU ULIOFANYWA NA MASHABIKI HAO
No comments:
Post a Comment