jionee baadhi tu ya picha zikiwaonyesha wasanii waliojitokeza
kumuunga mkono msanii mwenzao Chege wakati akishoot video yake mpya
“CHAPA NYINGINE” maeneo fulani ya pande za Dar es Salaam na Dir wa video
hii ni Adam Juma kutoka Visual Lab Next Level. Chege anawaomba
mashabiki wake wakae mkao wa kupakua kwani kichupa ndio kwanza ikawekwa
viungo.
Mariam Ibrahim Ahimiza Matumizi ya Nishati Safi Mkuranga
-
*Na Mwandishi Wetu.*
*MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mariam Ibrahim, ameendelea
kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia.*
*Ameyasema hayo le...
17 hours ago








No comments:
Post a Comment