BREAKING NEWS: BASI LA HOOD LAPINDUKA MORO
Basi la Kampuni ya Hood Limited lenye namba za usajili T 159 AXM lililokuwa linatoka Mbeya kuelekea Arusha limepinduka eneo la Melela- Mlandizi, Mvomero mkoani Morogoro na kujeruhi watu kadhaa na kuua mtu mmoja Basi hilo lilikuwa likijaribu kulikwepa gari lingine na kuingia mtaroni.

Wakazi wakishuhudia basi la kampuni ya Hood lililopinduka jioni hii maeneo ya Doma,Morogoro. |
Upande wa chini wa basi la Hood |
Wakazi wa eneo la Doma nje kidogo ya mji wa Morogoro wakitafakari tukio kwa huzuni. Picha na Junior Matukuta Mtu mmoja amekufa na wengine 27 kujeruhiwa baada ya basi la Hood Limited lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Arusha kupata ajali eneo la Melela Mvomero, Mkoani Morogoro. |
No comments:
Post a Comment